Wakazi Asimama Kumtetea Mange Kimambi Kuhusu Clip ya Profesa Jay Akiwa ICU " Aliyechukua Clip ndio Mwenye Kosa"


Ameandika Wakazi :


MORALS, ETHICS, EXPECTATIONS & HYPOCRISY

App ya Mange Kimambi naipenda. Ukiondoa “UDAKU” (which is what most are there for), kuna habari za msingi na pia FURSA.
Tumetaka Umbea, anatupa na tunaulipia; cant vilify her…
Aliyechukua clip ndio mwenye kosa morally… or is he/she?
Between Doctors, Viongozi & Family, unadhani nani kafanya vile?
Ila kwa promise ya kulipwa (na Mange) katika uchumi huu wa juakali, utashangaa mtu ku-record clip for money, and seem UNETHICAL na mkosa UTU?

Kuna watu wanatulisha vyakula vilivyochacha kwenye ma bar huko (makange na rosti hizi) ili wasile hasara.
How can you expect anything better from the same Bongo specie… 🤷🏾‍♂️

Alafu hii tabia ya kujipost hospitali mbona wenyewe tumeiendekeza. People do it kila siku. (Hypocrisy)
Mange aint evil, Mange is being Mange. Mange alihamasisha tuandamane, tukamlet down, alipambania Demokrasia, tukamlet down. The heck, ameamua kuwapa mnachotaka!!
Mngemkataza pia wakati anahamasisha Michango basi if she is that evil.

Wengi tulikuwa concerned na Hali ya Jay, na tulikuwa anxious & curious sababu na ufinyu wa taarifa from family.
Yes it was unethical and morally wrong, but at-least we know our brother is there, is fighting and it is not worst case scenario; anapukua mwenyewe. Kungekuwa na ventilators and stuff ingekuwa ya kushtusha… Mwamba is fighting na kama wauguzi watafanya kinachopaswa basi atakuwa KAMILIGADO (The Silver Lining)

Between Ethics, Morals & Expectations, tunazaa Hypocrisy, which makes us Wabongo kamili. Aluta Continua

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad