Waliokua Makomandoo wa JWTZ Ambao Walishtakiwa na Mbowe Kwenye Kesi ya Ugaidi, Leo Wamejiunga Rasmi Chadema


Waliokua Makomandoo wa JWTZ, Luteni Bwire, Adamoo pamoja na Ling'wenya ambao walishtakiwa pamoja na Mbowe kwenye kesi ya ugaidi, leo wamejiunga rasmi na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi na Mwenyekiti Freeman Mbowe, katika kongamano la siku ya wanawake lililofanyika mkoani Iringa.

Nini maoni yako?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad