Baada ya miaka mingi ya kukosekana Tuzo za muziki nchini Tanzania Serikali kupitia Baraza la Sanaa Tanzania ilitangaza kuzirejesha Tuzo hizo mwaka huu na kwamba sasa zitaendeshwa na Serikali.
BASATA imetangaza list ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo ambapo miongoni mwa Vipengele vilivyopo ni hiki cha Mwanamuziki bora wa kike wa mwaka ambapo wanaoshindanishwa ni Frida Amani, Nandy, Joyce Mwaikofu na Christina Shusho…..
Kura yako unampa nani kati ya hawa?