Wasanii wa WCB Watemwa Tuzo za Tanzania Music Awards


Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limetangaza wasanii wa muziki ambao wanakwenda kushiriki katika vipengele mbalimbali vya tuzo za muziki Tanzania.

Wasanii kutoka lebo ya WCB @wcb_wasafi hawajatokea kabisa kwenye orodha hiyo huku Marioo, Rosa Ree, Alikiba, Prof. Jay na Harmonize wakitokea kwenye vipengele vingi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad