Waziri wa Utamaduni "Hakuna Msanii Mkubwa Kuliko Nchi"



Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewataka Viongozi wa BASATA na COSOTA kuhakikisha Wasanii wote wanasajiliwa hususani wakubwa ambao mpaka sasa hawajasajiliwa

Amesema "Jukumu letu sisi Serikali ni kuwaunganisha Wasanii wote. Hakuna Msanii mkubwa kuliko Nchi, si tuliopewa Mamlaka twende tuwanyenyekee. Wanatoa mchango kwa Nchi inanufaika kupitia kodi"

Ameongeza "Kwenye nafasi tuweke Watu wenye fani ya #Sanaa, Wasanii wakongwe wapo wanaijua Sanaa. Tuwateue kwenye nafasi mbalimbali hasa za BASATA ili wakasimamie #
Biashara zao."


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad