Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara "Tunatangazwa Bure Dubai Ile ni zawadi ya Mama"


“Juzi tukiwa pale Dubai tumeona bendera ya Taifa letu imerushwa kwenye jengo refu kuliko majengo yote duniani Burj Khalifa na jana usiku imerushwa bendera pia ikiwa na picha ya Mhe. Rais ikieleza fursa.

Tanzania ni nchi salama pia yupo na Rais makini na imara ambaye yupo tayari kwa kazi huu ni mwezi wa Malkia Wa Nguvu Burj Khalifa wametoa zawadi kwa Mama na ile ni zawadi kwa Mama ni uwezo wa Malkia na hatujalipa hata shilingi na Taifa hili litatangazwa mwezi mzima kupitia Burj Khalifa” Mhe. Dkt. Ashuta Kijaji, Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad