Kutoka kitengo cha comments! Mwanamuziki @whozu_ ameamua kumvaa mwanamuziki mwenzake ambae pia ni mtangazaji wa Wasafi media @officialbabalevo kwa kumuachia comment inayo-onekana kuchukizwa na kile alicho kiandika katika ukurasa wake wa Instagram.
Babalevo ambae kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi na kueleza kuwa katika tuzo za TMA mwanamuziki @whozu_ hakustahili kuwepo katika Tuzo hizo haswa katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Mwaka.