Bodi ya Klabu ya Simba SC imekubaliana Kutomfuta Kazi Kocha Pablo


Bodi ya klabu ya Simba SC imekubaliana kutomfuta kazi kocha anayekinoa kikosi cha Simba SC kwa sasa, Pablo Franco licha ya kutofikia malengo aliyopewa na klabu ya kufika hatua ya Nusu fainali ya kombe la Shirikisho. Hivyo kocha mkuu Pablo Martin amepewa nafasi ya kupendekeza majina ya wachezaji ambao wataachwa mwishoni mwa msimu na ambao atawahitaji msimu ujao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad