Breaking: Christiano Ronaldo Atangaza Kifo Cha Mtoto Wake wa Kiume


Kupitia ukurasa rasmi wa Cristiano Ronaldo wa Instagram, ametangaza kifo cha Mtoto wake wa kiume ambaye amezaliwa leo, hii inakuja baada ya kuripotiwa kuwa Ronaldo na Georgina walitarajia mapacha wawili ambapo ni pacha wa kike tu ndie amezaliwa salama


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad