Web

Breaking: Moto Mkubwa Umezuka Kwenye Shimo la Kuhifadhi Mafuta Machafu


Moto mkubwa umezuka kwenye shimo la kuhifadhi mafuta machafu lililopo eneo la Mbuyuni, Kigamboni Jijini Dar es Salaam na kuteketeza shimo hilo na kisha moto huo kusambaza na kuteketeza magari ya mafuta yaliyokuwa yameegeshwa eneo hilo.

Taarifa zinaeleza kuwa hadi sasa magari manne ya Jeshi la ZIMAMOTO yamefika na kujitahidi kuzima moto huo bila mafanikio.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad