Haji Manara Atoa Neno Kwa Wapenzi Kushikiana Simu



Haji Manara ameunga mkono kauli ya Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Siriel Mchembe kutoa onyo kwa mwanaume kusoma message za mwanamke pia mwanamke kusoma message za mwanaume.

Manara anasema mwanaume wa kweli hawezi kuhangaika na simu ya mkewe na mwanamke jasiri hagusi simu ya mumewe.

Pia ameongeza kueleza kwamba simu zimeleta farka kubwa kwenye mahusiano mengi duniani pia kabla ya uwepo simu wachepukaji walikuwepo na hata sasa wapo pengine hawategemei mawasiliano ya mitandao wanazo njia zao za kichepuko

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad