Haji Manara "Sisi Mimi tu Niliyevaa Jezi ya Orlando Pirates Hata Mchezaji Wao Kavaa"


Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema sio yeye tu aliyevaa jezi ya Orlando Pirates, hadi Mchezaji wa Simba (aliyemuita fundi ) Jonas Mkude amevaa jezi hiyo.

Siku ya jana Haji Manara amekutana na upinzani mkali baada ya kuvaa jezi hiyo kutoka kwa wachambuzi wa soka wakidai amefanya makosa kadhaa ikiwemo kuikosea heshima klabu yake ya Yanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad