Hamisa Mobeto; ni staa wa mitindo, filamu na muziki nchini Tanzania ambaye amekuwa akitrendi kila kukicha.
Sasa taarifa ikufikie kwamba, kama ulikuwa unadhani jimbo lipo wazi unakosea kwani mwenyewe anasema;
“I’m so in love, yaani jamani nampenda sana mpenzi wangu mimi…”
Hata hivyo, kauli yake hiyo imeacha maswali huku wengine wakidai ni madevu; rapa wa Marekani, Rick Ross ambaye amekuwa hakauki kumsifia Hamisa.