Msanii Nyota nchini Harmonize ameendelea kuonyesha kutokuwa na tatizo na msanii mwezake Alikiba baada ya kumpongeza kwa kushinda Tuzo ya TMA katika kipengele cha “Album Bora ya Mwaka”
Kupitia insta-story yake @harmonize_tz amepost picha ya Alikiba na kuandika
“Congrats Nice Album Mfalme
TMA 2021” - Harmonize