Harmonize ambae ameonekana kufanya sana mazoezi katika siku za hivi karibuni, sasa ametangaza vita kwa kuhitaji pambano ulingoni na mtu yoyote mwenye matatizo nae binafsi.
Kupitia insta story yake Harmonize ameweka wazi swala hilo akiambatanisha na video clip inayo muonesha akiwa katika mazoezi makali ya mupigana ngumi .