Kupitia ujumbe wake huo mrefu wa insta story ameeleza kumuomba msamaha #Kajala ni sawa na kuwaomba msamaha wanawake wote duniani ambao anakili aliwakwaza.
Aidha mkali huyo ambaye ni muumini wa dini ya kiislamu, ameweka wazi kuwa hajafunga hata ramadhan moja tangu mwezi mtukufu uanze. Hii ni kutokana na kukosa hamu ya kula na kuendelea kwa malalamiko yake. Ameeleza.
Una lipi kwa Konde Boy Jeshi⁉️