Wakati Harmonize anaonekana kukomaa kubebeleza na kuomba msamaha ili apewe nafasi nyingine ya kulirudisha penzi lake kwa mpendwa wake @kajalafrida, Kajala anaonekana kutokuwa na mpango wa kukubaliana na kile anachokililia Harmonize kwasasa.
Zimeripotiwa kutoka kwa wambea kuwa tayari wametumwa Watu kubembeleza kwa niaba ya Harmonize lakini Kajala kawatolea nje! 🙌🏽
Msimamo wa @kajalafrida unaonekana kuendeleza maumivu kwenye upande wa Harmonize baada ya hiki ambacho @kajalafrida ame-share kupitia InstaStory yake!
Kajala ame-share ujumbe unaosomeka “Teach your heart to accept dissapointments even from the people you love” wenye maana ya kwamba ‘Ufundishe moyo wako kukubali maumivu hata kama yanatoka kwa Watu unaowapenda!’ •
Ujumbe ambao umeelekezwa moja kwa moja kwenye kile ambacho @harmonize_tz amekuwa aki-share hivi sasa! 🤔
Mtazamo wako ni upi!? Ushauri wako ni nini kwa @kajalafrida na @harmonize_tz!? Share na sisi kwenye Uwanja wa comments.