Kipanya "Sikukopa Wala Kuwa na Mamilioni ya Hela Kutengeneza Ile Gari"


“Baada ya kuwa na wazo tayari nikatafuta mtu wa Welding na katika kuanza kutengeneza gari sikuwa na hela yote cash hapana na toka naanza mpaka namaliza sina sehemu niliyokopa, kwa miaka miwili nilikuwa na wafanyakazi saba ambao ujanja niliyokuwa nautumia na nilisema hata wakati wa uzinduzi niliwaambia sitawalipa kwa mwezi bali nitawalipa kwa siku ili gharama zisiwe kubwa hujaja sikulipi kwa siku nilikuwa nalipa wastani wa mishahara elfu sabini mpaka laki moja, kuna vifaa vya kununuliwa, kodi hivyo wastani kwa mwezi nilikuwa natumia million tatu mpaka nne sasa hapo piga kwa miaka miwili hivyo sikukopa na wala sikuwa na ma-billion ya hela.

Vitu vichache tuliagiza nje ya nchi kama Motor, Battery na Control hivyo vitu ndiyo tuliagiza nje vingine tumenunua hapa” @masoudkipanya
#PowerBreakFast

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad