Klabu ya Simba imethibitisha kuwa Nyota Bernard Morrison Haruhusiwi Kuingia Afrika Kusini…



Klabu ya Simba SC kupitia kwa Mtendaji mkuu, Barbara Gonzalenz imethibitisha kuwa nyota Bernard Morrison haruhusiwi kuingia Afrika Kusini lakini hata hivyo amesema shughuli yote dhidi ya Orlando Pirates wataimaliza kwa Mkapa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad