Klabu ya Soka ya Simba imeruhusiwa na CAF kuingiza mashabiki elfu 60


Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo jijini Dar es Salaam
Klabu ya Soka ya Simba imeruhusiwa na CAF kuingiza mashabiki elfu 60 katika pambano lake la robo fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.

Katika hatua za makundi Simba walikuwa wanapewa ruhusa ya kuingiza mashabiki wasiozidi elfu 30.


Uwanja wa Orlando uliopo jijini Johannesburg, Afrika Kusini
Pambano hilo linatarajiwa kufanyika Aprili 17 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja kamili usiku na marudio ni Aprili 24 Johannesburg Afrika Kusini.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad