Siku ya Leo Nyota wa Filamu Wema Sepetu alikutanishwa na mahasimu wake Elizabeth Michael na Irene Uwoya, kwa ajili ya kutafuta suluhu la ugomvi wao wa muda mrefu.
Wema Sepetu aliwatimua Mahasimu wake Uwoya na Elizabeth Michael kwa hasira na kuwaambia hakuna mtu aliyewaambia waende kwake
“Hakuna mtu aliyeniambia anakuja kwangu,waondoke” - Wema Sepetu
Kwa muda sasa Mastar hao waliingia katika bifu zito na baada ya baadhi ya watu (Martin Kadinda pamoja na Kajala) kutafuta suluhisho la ugomvi huo imekuwa ni kama wamechochea moto.
Je una mawazo gani kuhusu hili!??