Kutoka instagram page ya mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz @mama_dangote amefichua kuhusu kijana wake huyo ambae pia ni mmiliki wa record label ya WcB Wasafi kupata mwenza na kumsihi kuwa kwa sasa aweze kufunga ndoa/ aoe.
Je unadhani atakua mrembo gani huyo aliyepewa baraka na Mama dangote..?