Mama mzazi wa msanii #diamondplatnumz amemsihi mwanae kufunga ndoa mwezi huu mara baada ya kumaliza mfungo wa Ramadhani.
Kupitia ukurasaa wake wa instagram #mama_dangote ameandika
“Mara nyingine narudia tena,Nasibu #diamondplatnumz Mfunge ndoa mwezi huu ukiisha maana Baraka zake, Allah ndio anazijua” - Mama Dangote
Unadhani ni mwanamke gani Mama Dangote anamsihi Diamond afunge naye ndoa!??