Kutoka kwa mama wa mwanamuziki Diamond platnumz' @mama_dangote ameendelea kuweka wazi kilio chake kwa kijana wake @diamondplatnumz , safari hii akitumia maneno mazito kuwa anatamani kucheza harusi / kusherekea harusi ya kijana wake huyo kabla hajakata kauli.
Ndani ya week hii Mama wa mwanamuziki huyo amekua akisisitiza mwanamuziki @diamondplatnumz kuoa mara baada ya kudai kuwa kwasasa amepata mwenza sahihi hivyo aweze kufunga ndoa baada ya mwezi wa Ramadan.