Maskini Mmasai Kill Paul Avamiwa na Watu Watano, Alazwa na Kushonwa Nyuzi Tano


Kili Paul amevamiwa na kushambuliwa na watu watano (5) kwa visu na marungu, ameweza kupambana nao wakakimbia.

Amelezwa Hospitali baada ya kushonwa nyuzi tano, Kili amesema walitaka kumpoteza lakini Mungu amaemsaidia.

Pole sana @kili_paul





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad