Mchezaji Ronaldo Anamlipa Mpenzi Wake Milioni 251 Kila Mwezi


Star Wa Manchester United Kutoka Portugal Cristiano Ronaldo anamlipa partner wake “Georgina Rodriguez” Mshahara Pesa sawa na TShs Milioni 251.

Na kiwango hicho cha Pesa bi dada ruksa kuitumia kwenye majukumu yake mbalimbali haina Masharti 😜

Wawili hao wameanza KwichyKwichy Mwaka 2017, kibongo bongo Hapo kati Yamezaliwa na Kuvunjika Mahusiano mengi mnooo Kama ya Jux na Vanesa, Wema Na Idriss, Gigy na Moj, Bigi na Hamisa Mobetto, Harmonize na Kajala e.c.t imagine

Super Star Huyu wa Manchester United analipwa kila wiki Zaidi Ya 1.5 Billion na Kumfanya Kuwa Football Player anaelipwa Mkwanja Mrefu zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad