Mfanyabiashara Rostam Aziz Mmiliki MPYA wa Tigo na Zantel



Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz na Muungano wa Kampuni ya Axian Group Ltd ya Madagascar wamekamilisha ununuzi wa Tigo Tanzania na Zantel.

Rostam sasa anakuwa Mwenyekiti wa Kampuni mama ya Tigo, MIC Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad