Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ataja Mashirika 14 ya Serikali Yaliyopata Hasara Kwa Miaka Miwili Mfululizo


Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere leo Aprili 12, 2022 amewasilisha ripoti kwa Waandishi wa Habari ambapo ameyataja Mashirika ya kibiashara yaliyopata hasara mfululizo kwa miaka miwili 2019/20 na 2020/21.

"Mashirika ya umma yaliyopata hasara kwa miaka miwili mfululizo na yanayojiendesha kwa hasara ni pamoja na ATCL, Mkurazi, TTCL, Kituo cha Mikutano Arusha, EPZA, Watumishi Housing na Kampuni ya Uchapishaji ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,” CAG Kichere.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad