Mwingine Aliyeharibu Party ya Wanigeria Kwenye Tuzo za Grammy Mwaka Huu Huyu Hapa


Mwingine aliyeharibu party ya Wapopo kwenye tuzo za Grammy mwaka huu..Anaitwa @aroojaftabmusic, ni Mpakistan anayeishi Marekani. Ameshinda kipengele cha Best Global Music Performance. Essence ya Wizkid ilikuwa imetajwa pia. Naija wamekuwa na wiki mbaya sana kwenye michezo na muziki pia. Labda Wanajipoza na ushiriki wa Davido kwenye wimbo wa kombe la dunia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad