Ndege Yaanguka Mtaani na Kuua Watu Sita


HAITI: Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye shughuli za kibiashara za watu wengi katika Jiji la Port-au-Prince, Nchini Haiti jana Aprili 20, 2022 na kuua watu 6 akiwemo Rubani wa Ndege hiyo
-
Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea Jiji lingine la Jacmel lililopo Haiti. Mamlaka za Usafiri wa Anga zimesema injini ilifeli na kusababisha ndege hiyo ianguke

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad