Web

Ndugu zetu Wanaijeria Hawaamini Wanachokiona, Angelique Kidjo Achukua TUZO ya Grammy Mbele ya Wizkid


Mwimbaji Angelique Kidjo ameshinda tuzo ya Grammy usiku huu kwenye kipengele cha Best Global music Album kupitia album yake ya #MotherNature.

Kipengele hicho kilikua kinawaniwa na nyota wa muziki barani Afrika @wizkidayo kupitia album yake ya #MadeInLagos pamoja na album za wasanii wengine.

Ndugu zetu wanaijeria hawaamini wanachokiona ,maoni yako ni yapi..?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad