Mwanamitindo @miriamodemba ametoa kali ya mwaka baada ya kuiomba jeshi la polisi kutoa amri ya kwamba @kajalafrida arudi kwa mpenzi wake wa zamani @harmonize_tz .
Katika waraka ambao ameutoa mtandaoni pia amewaomba Watanzania kuacha kukaa kimya kwenye sakata hilo huku akiwataka kuchangia pesa za mabango.