PCK Amlipua Harmonize kwa kumfuatafuata Diamond Platnumz "Unatembelea Jina Lake"


PCK amlipua Harmonize kwa kumfuatafuata Diamond Platnumz

Ameandika Haya:

"Harmonize NINACHOWEZA KUKUSHAURI ACHA BANGI COZ HIYO BANGI UNAYOIVUTA 24HRS INAKUPELEKA PABAYA

INAONEKANA WEWE UNATEMBELEAGA SAANA JINA LA DIAMOND ILI USIKIKE

1. HUWEZI KUJIITA MSANII BORA HUKU UKIWA UNATEMBELEA JINA LA MWANAMZIKI MWENZIO

2. WEWE KWA DIAMOMD BADO SAANA WEWE UNATAKIWA KUSHINDANA NA LAVA LAVA

3. WEWE SHOW ZAKO ZA TANZANIA UNALIPWAGA 20MILLION IKIWA NJEE YA NCHI UNALIPWA 17000 DOLLAR

WAKATI MWENZIO Ddiamondplatnumz SHOW ZA TANZANIA HUA ANALIPWA 80MILLION ZA KI TANZANIA 🇹🇿 IKIWA SHOW YA NJE YA NCHI HAIJALISHI NI NCHI GANI IKIWA TU NI NJE YA NCHI Ddiamondplatnumz HULIPWA DOLLAR 70000 ZA KIMAREKANI NA HAPO PROMOTER ANAGARAMIA KILA KITU USAFIRI HOTEL KULA KUNYWA YANI KILA KITU

4. Harmoniz KWA STYLE YAKO HII USIPO BADILIKA UTAKUJAKUPOTEA ALAFU UTAKOSAGA HATA PAKUTOKEA MAANA HATA MASHABIKI ZAKO WENGINE WASHACHOKA TABIA ZAKO HATA UONGOZI WAKO UNA LALAMIKA KILA SIKU KUA HUSHAURIKI SO KAMA NI BANGI ACHA KABISA

NIMEONGEA HAYO YOTE KWASABABU ULIPOENDA KUPOKEA TUZO YAKO YA MWISHO MBELE YA WATU NA VIONGOZI UKASEMA ETI WEWE UMECHUKUA TUZO NYINGI Diamondplutnamz AMECHUKUA TUZO MOJA TU!! HIVI UNAZANI DIAMOND ANGEKUBALI KUINGIA KWENYE HIZO TUZO WEWE UNGEPATA HATA TUZO MOJA?

KINGINE UMESAHAU KUA DIAMOND AMEPEWA TUZO YA HESHIMA NA NCHI KWA KUIWAKILISHA VIZURI TANZANIA 🇹🇿? HEBU JITAFAKARI UNAPOELEKEA SIO PAZURI

WALIKUEPO WAKALI WA STEJI KAMA TID LEO WAKO WAPI?

KILA SIKU DIAMOND 💎 DIAMOND KWANI HUWEZI KUFANYA YAKO BILA DIAMOND?? DAH!! JITAFAKARI SAANA" ameandika PCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad