Web

Picha:Shughuli za uokoaji watu waliofukiwa na vifusi Kigamboni DSM



Shughuli za uokoaji zikiendelea katika eneo la Machimbo ya Mawe Kikikaka, Mji Mwema Kigamboni baada ya watu kufukiwa na kifusi, huku takribani watu watatu wakipoteza maisha.

Ayo Tv imefika eneo la tukio na kushuhudia shughuli za uokoaji zikiendelea, huku Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatmah Nyangasa akiwa kipaumbele kusimamia zoezi hilo.

Kwa mujibu wa baadhi ya mashuhuda ni kwamba tukio hilo lilitokea asubuhi ya leo April 3, 2022 wakati watu hao wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa Mawe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad