Polisi, Mahabusu Wafariki kwa Ajali Mwanza



Mwanza. Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Mwanza

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad