Rapa Bob Shmurda Amkataa Jay-Z Hadharani na Kumchagua Marehemu Pop Smoke


Rapa Bob Shmurda amkataa Jay-Z hadharani na kumchagua marehemu Pop Smoke, ni baada ya kuulizwa swali na Mtangazaji DJ Akademiks kwamba angependa nani kati ya hao wawili atie verse kwenye ngoma yake? Bila kusita Bob Shmurda alimchagua Pop Smoke na kuacha mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad