Rayvanny Aendelea Kuvunja Records za Mauzo: Awa Msanii wa kwanza EAST Africa Kuingia Golden Club

Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.

Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay.

Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo ya stream na kuingia Golden Club akiwa na kina WizKid na Davido.

Rayvanny aendelea kuprove kwamba unaweza kuuza muziki wako kwa mafanikio makubwa bila kufanya kiki za vijijini.

Namba hazidanganyi watu wengi umsikiliza wanaempenda.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad