Meneja wa Klabu ya Soka ya Derby County Wayne Rooney anahisi mchezaji Cristiano Ronaldo hajafanya kitu katika kipindi cha pili cha akiwa Manchester United na anaamini kuwa Harry Maguire hajiamini.
Rooney alisema katika mahojiano Jumatatu usiku na kipindi cha Monday Night Football muda mchache kabla ya mchezo kati ya Crystal Palace na Arsenal.
Mechi hiyo ambayo inaendelea sasa Crystal Palece yuko mbele kwa goli 3-0 dhidi ya Arsenal zikiwa zimesalia dakika kumi mchezo kumalizika.
Wayne Rooney anauunga mkono Maurico Pochettino kuchukua kazi ya juu katika klabu yake ya zamani ya Manchester United.
GPL