Kupitia ukurasa wake wa Instagram Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa, ameandika kuwa.
” Nimeelekeza TARURA kutumia common sense kwenye hili. Elimu na ushirikishaji wadau katika kuunda mfumo wa elektroniki unaoendana na uhalisia, ikiwemo kiasi cha faini kinachowekwa .
Natoa wito kwa wananchi wetu kutii sheria bila shuruti. Mpaka unaenda kwenye kulipa faini ina maana ni shuruti, na hiyo siyo dhamira yetu. Tuwe raia wema, lipeni parking fees ndani ya muda na hakutakuwa na nongwa yoyote. @tarura_tanzania @ortamisemi
Waziri Bashungwa ameambatanisha na barua hii.