Mwanamuziki kutoka nchini Kenya #tanashadonna kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka ujumbe unahamasisha watu kubadilika kutokana na mazingira,
#tanashadonna✍️
“wakati mwingine ukuaji unakulazimisha kuwa na marafiki wapya, mazingira mapya na akili mpya na hauwezi kufungua mlango mpya kwa kutumia ufunguo wa zamani”.