Tanzania imetajwa Kuwa ni Miongoni mwa Maeneo Salama na Mazuri Kutembelea Duniani


Hii ni kwa mujibu wa maoni yaliyokusanywa na Jarida la Forbes juu ya maeneo gani bora ya watu kwenda kufurahi na kupumzika haswa baada ya hali kuanza kuwa shwari baada ya janga la Uviko-19.

Tanzania imependezwa na Alyssa Ramos,  mtayarishaji maudhui na mjasiriamali ambaye ameyataja maeneo mengi ikiwemo Zanzibar, Hifadhi ya Ruaha, Serengeti na maeneo mengine.

Bonyeza link hii Maeneo ya kutembelea 2022 kusoma maeneo mengine yaliyotajwa 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad