VAR itatumika nchini kwa mara ya kwanza katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Aidha, CAF imeiruhusu Simba kuingiza mashabiki 60,000 kwenye mchezo huo utakaopigwa Aprili 17, 2022.