Video ya JEJE ya Diamond Platnumz Yaondolewa Mtandaoni



Official video ya Jeje ya msanii Diamond Platnumz imeondolewa kwenye mtandao wa Youtube.

Ikumbukwe kuwa hii sio mara ya kwanza kwa video hiyo kuondolewa katika platform hiyo ya muziki.

🎙

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad