Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa wakikata baadhi ya vyuma vya ngazi katika nguzo namba P9 kwenye Daraja la Tanzanite lililopo maeneo ya Salender, Jijini Dar es Salaam
Aidha, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Muliro J. Muliro amesema watu wengine 10 wanashikiliwa kwa kukutwa chini ya daraja hilo wakidai wanaokota vyuma chakavu
#JamiiForums