"Wasichana wengi wanalilia niwaoe" Ommy Dimpoz



“Kuna wasichana wengi sana kila siku wanalia nioe mimi, hizo nishazoea, ni kawaida, nina uhakika na watu wengine inawatokea, lakini mimi naweza kuwa baba yao kwenye suala hilo,” anasema Dimpoz. “Lakini katika suala hilo (kuoa) mimi Muislam naruhusiwa kuoa wanne, kwa hiyo inawezekana hata sasa hivi nina hao wanne wa kuwapima, kwa hiyo time itakapofika haina shida,” anasema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad