Mwanadada nyota kutokea Uganda @zarithebosslady amemchokoza Rapa kutoka South Afrika Nadia Nakai baada ya ugomvi baina yao ulioanzia katika Reality show ya “YOUNG,FAMOUS AND AFRICAN” huku chanzo kikiwa ni msanii @diamondplatnumz.
Kupitia ukurasa wake wa Snaptchat Zari ameandika
“Swali kwa Nadia; Kwanini Unapambana? Alikupotezea Eeh!?
Mimi sikuwa tatizo bali yeye” - @zarithebosslady
Katika Reality show hiyo ulizuka ugomvi mkubwa baina ya Zari na Nadia Nakai huku chanzo cha kwanza kikiwa ni msanii Diamond Platnumz.
Na @blessed_tillah