Jeshi la Polisi mkoani wa ArushaReposted from @lemutuz_superbrand Jeshi la Polisi mkoani wa Arusha linamshikilia mwalimu wa madrasa kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi zaidi ya 20 wa shule ya msingi Mkonoo katika jiji la Arusha.
Tukio hili la aina yake limeibuliwa na Mkuu wa wilaya ya Arusha, Said Mtanda baada ya kufika katika shule hiyo na kuzungumza na wazazi, walimu na wanafunzi baada ya kukamilisha alichoita uchunguzi wake juu ya mwalimu huyo wa madrasa.
Amesema Mwalimu huyo wa madrasa amekuwa akiwarubuni kwa pipi, miwa na zawadi nyingine watoto hao na kuwafanyia ukatili ambao Serikali haiwezi kuvumilia.
"Nimeagiza wanafunzi waendelee kufanyiwa uchunguzi katika hospitali na madrasa kufungwa na kuendelea kishikiliwa na polisi mtuhumiwa hadi hapo uchunguzi utakapokamilika," amesema Mtanda.
HT: Mwananchi
@lemutuz_tv @lemutuz_superbrand
#lemutuzUpdates linamshikilia mwalimu wa madrasa kwa tuhuma za kuwalawiti wanafunzi zaidi ya 20 wa shule ya msingi Mkonoo katika jiji la Arusha.

HdT: Mwananchi