Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani!
Fanya mapenzi yako kwa style yako!
Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu!
Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA kusikiliza!
Chimbuko la ushoga kusambaa ilikuwa ni taarifa! Kadri mashoga wanasimulia wanavyotinduana ndivyo idadi ya mashoga inaongezeka! ACHA kusikiliza
Kama ilivyokuwa siku yako ya kwanza kufanya mapenzi ambavyo hukujua chochote hivyo ACHA kusikiliza mtu!
Kama wewe unapenda kifo cha mend** usisikilize ya chuma mbog** utaumia bure ACHA kusikiliza!
Kama unapenda katerero usisikilize ya pangu pakavu utapotea!
TUMEBORESHA APP YETU YA UDAKU SPECIAL BONYEZA HAPA KUFANYA UPDATES KUPATA ZAIDI HABARI KAMA HIZI..NI BURE
Hakuna bingwa wa mapenzi kwasababu mapenzi ni mtihani ambao kila mtu anaswali lake tofauti, USISIKILIZE JIBU LA MTU utafeli vibaya!
Usifananishe mapenzi ya rafiki yako na wewe kwasababu kila mtu ana mikato yake, ukifuatisha mikato ya rafiki unamuweka hatarini mpenzi wako kupendwa na rafiki yako, ACHA KUSIKILIZA
Kila mtu ashinde mechi yake, ukiendekeza kusikiliza ya watu HUTOBOI
Fanya mapenzi yako hata Mimi kama vipi usinisikilize vilevile!
By Dmkali