Haji Manara Akiwa Safariki Aendelea Kuwashukia Simba 'Safari Yangu Mmeitia Ugumu Bila Sababu kwa Sababu ya Uchawi Wenu'

Haji Manara

Haji Manara Ameandika haya akiwa Safarini:

"Kazi kubwa niliyopata leo safarini ni kweli mimi kama Mtanzania sio Mwanga?

Kote naulizwa swali hilo hilo,,Why lakini Makolo? Mbona mnatupa tabu huku ugenini? C Bora Mngewangia nyumbani kuliko kwenda kusazia ugenini?

Safari yangu mmeitia ugumu bila sababu kwa sababu ya Uchawi wenu, Bambaaav" Manara

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad