"Nakumbuka nilikua nipo LIVE Instagram, tena ilikua Kipindi cha Ramadhani . ndipo ambapo @richforever aliweza kuniona na nadhani alipenda uwezo wangu wa kujieleza na baada ya hapo ndio mambo mengine yakafuata "
" Kuhusu kufanya Ngoma na @richforever, ni kwamba kuna wimbo ambao tunaufanya na utakua ni wimbo wake ambao kuamua kunishirikisha . Na Projects nyingi nyingi tu zitakuja " - @hamisamobetto